Posts

Showing posts from January, 2017

WAZIRI Aipiga Stop EWURA Kupandisha Bei ya Umeme

Image
Waziri wa nishati na madini, Sospeter Muhongo ameipiga 'Stop' EWURA kupandisha bei ya umeme mpaka serikali itapopokea na kutathmini bei mpya kwa umakini. Jana EWURA ilatangaza ongezeko la bei ya umeme kuanzia Januari mosi, 2017.